GET /api/v0.1/hansard/entries/481456/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 481456,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/481456/?format=api",
    "text_counter": 181,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "viongozi wanaojiita magavana. Wamemea pembe hadi wanataka mabibi zao wapewe maofisi na hela za kukimbia huku na kule na magari. Haya si mambo yanaoweza kueleweka. Wao wanataka hela nyingi kutembea kila siku na gavana kusafiri kwa magari mengi nyuma yao kwa sababu ya usalama wao. Huu ni usalama wa aina gani. Nashangaa! Naomba kuunga mkono."
}