GET /api/v0.1/hansard/entries/481944/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 481944,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/481944/?format=api",
"text_counter": 82,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Bedzimba",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1933,
"legal_name": "Rashid Juma Bedzimba",
"slug": "rashid-juma-bedzimba"
},
"content": "Ahsante Mhe. Spika. Nimeshukuru kwa jawabu lililotoka kutoka kwa Mwenyekiti wa Ardhi. Lakini niko na maoni kwa baadhi ya majibu. Jibu la kwanza (b). Serikali ibadilishe vyeti vya wale watu walio kodisha Arthi kwa muda murefu na hawaitumii na haswaa katika maeneo ya makaazi. Jawabu la pili, serikali iharakishe utoaji wa vyeti vya umiliki unaoendelea pwani. Jibu la tatu, serikali imetoa hakikisho ya kuto furusha watu kwenye ardhi ya serikali. Pia imetoa hakikisho ya kwamba wako mbioni kubuni sheria na mwongozo wa ufurushaji na utatuzi wa mizozo kama hiyo. Je, ni lini muongozo huu utakua tayari?"
}