GET /api/v0.1/hansard/entries/481946/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 481946,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/481946/?format=api",
    "text_counter": 84,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwiru",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 107,
        "legal_name": "Alex Muthengi Mburi Mwiru",
        "slug": "alex-mwiru"
    },
    "content": "Asante sana Bw. Spika. Ni jambo nzuri kuona kwamba mwenzangu amefurahia kuwa kuna mambo ambayo Serikali inajaribu kutekeleza ili kutatua shida hii. Lakini siwezi kueleza jambo hili litachukua muda gani. Hata hivyo, tungesaidiana katika Bunge hili ili tuona kwamba sheria kuhusu mambo ya maskuota zimeidhinishwa hapa Bungeni. Kwa hivyo, ningemuomba mwenzangu tushikane mikono ili tuweze kuona kama haya mambo yataweza kutekelezwa katika kipindi ambacho tuko hapa Bungeni."
}