GET /api/v0.1/hansard/entries/481947/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 481947,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/481947/?format=api",
    "text_counter": 85,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Kombe",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 250,
        "legal_name": "Harrison Garama Kombe",
        "slug": "harrison-kombe"
    },
    "content": "Asante Bw. Spika. Ningetaka kumuuliza Mwenyekiti kuna mipangilio gani ya kulisafisha Jumba la Ardhi. Kufikia hivi sasa, kuna Makamishina wa zamani ambao bado wanatia sahihi kwa cheti cha kumiliki ardhi, kurudisha tarehe zake nyumba na kubadilisha cheti cha wamiliki ambao hawako. Ni lini kutakuwa na usafishaji wa hilo Jumba? Kuna uchafu ambao umejaa hapo ndani."
}