GET /api/v0.1/hansard/entries/481952/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 481952,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/481952/?format=api",
    "text_counter": 90,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Kombe",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 250,
        "legal_name": "Harrison Garama Kombe",
        "slug": "harrison-kombe"
    },
    "content": "Asante Bw. Spika. Neno uchafu halijamaanisha takataka zilizoko ndani. Kuna wafanyikazi ambao wanatekeleza uharifu ndani ya jumba hilo. Isitoshe, kuna lile swala ambalo mpaka hivi sasa, sijapata kutoka kwa Mwenyekiti ambalo linalenga mambo ya usikuota. Ningetaka anielezee ni lini ataniletea hiyo Taarifa yangu."
}