GET /api/v0.1/hansard/entries/484389/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 484389,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/484389/?format=api",
    "text_counter": 490,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "ifuatayo kupiga kura, uzingatie kwamba jambo ambalo tuko nalo si la kawaida. Ni jambo ambalo limeitisha kikao cha dharura. Nakusihi upige moyo wako konde na uamuru kuwa tuipige kura hii leo. Labda ni bahati ya mshtakiwa. Hata zamani wakati watu walikuwa wananyogwa kwa kamba, ungebahatika kama kamba hiyo ingekatika na uwe hujakufa, ungeachiliwa. Kwa hivyo, labda ni bahati yake. Nakusihi usilichafue jina lako."
}