GET /api/v0.1/hansard/entries/490099/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 490099,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/490099/?format=api",
    "text_counter": 54,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 98,
        "legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
        "slug": "thomas-mwadeghu"
    },
    "content": "Jambo la nidhamu, mhe. Spika. ingawa wamenipatia wadhifa wa Kiranja hapa Bungeni, siwezi kuwa Kiranja na nikubali matamshi ambayo hayawezi kuthibitishwa. Wataita wameonewa hata wakati huu. Siwezi kuunga mkono hata mtu mmoja kwa sababu hakuna Mtaita hata mmoja ambaye amepewa wadhifa. Kwa hivyo, siwezi kuunga mkono, na hamna---"
}