GET /api/v0.1/hansard/entries/49039/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 49039,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/49039/?format=api",
"text_counter": 386,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Muthama",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 96,
"legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
"slug": "johnson-muthama"
},
"content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, ninashukuru kwa kunipa nafasi ili niichangie Hoja hii ya maana sana, inayohusu Wakenya waliopoteza maisha yao. Nikimshukuru mhe. Wamalwa kwa kuileta Hoja hii, ningependa kuwasihi Wabunge wenzangu tuzungumzie masuala ya taifa la Kenya, na tusitaje kabila hili ama"
}