GET /api/v0.1/hansard/entries/490443/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 490443,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/490443/?format=api",
"text_counter": 398,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon.Mwashetani",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2163,
"legal_name": "Khatib Abdallah Mwashetani",
"slug": "khatib-abdallah-mwashetani"
},
"content": "Mhe.Spika, ninatoa shukrani kwa Kamati ambayo imeunda Ripoti hii, mbali na kuwa ina matatizo hapa na pale. Sisi ni wanadamu na hakuna aliyekamili. Kwa hivyo ninawapongeza. Vile vile ninatoa kongole kwa wale ambao walichaguliwa kuwa wakilishi wa nchi yetu ya Kenya. Ninashukuru kwa kuchaguliwa kwa mmoja wetu kuwa Balozi wa Tanzania. Mhe. Mwakwere amepata fursa hii kutokana na ujuzi alionao. Mbali na kuwa ana umri mkubwa, zote tunatambua juhudi zake na alivyochangia katika Serikali hii kuweza kuwa mahali ilipo. Kwa hivyo, natoa kongole vile vile."
}