GET /api/v0.1/hansard/entries/490444/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 490444,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/490444/?format=api",
    "text_counter": 399,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon.Mwashetani",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2163,
        "legal_name": "Khatib Abdallah Mwashetani",
        "slug": "khatib-abdallah-mwashetani"
    },
    "content": "Mhe.Spika, ningependa kueleza Bunge hili kuwa Kiswahili ni lugha ambayo imetambulika Kikatiba. Katika fikra zangu si lazima uzungumze Kiingereza sana ndio utambulike kuwa umesoma. Mhe. Amb. Sheikh Dor, leo tungekuwa tunatambua hali yake kulingana na elimu aliyonayo--- Mhe. Dor ni kiongozi ambaye katika kifua chake ametambua anaweza kusoma Quran yuzuu thelathini pasipona kusita wala kukosea hata sentensi moja. Hiyo ni katika jarida la juu zaidi ya yule professor ambaye anatambulika katika wakati wa sasa. Kama tunavyojua sasa hivi, makaratasi ya udaktari na professor yanaweza kupatikana sehemu zo zote kwenye Kenya hii. Lakini hauwezi kuielewa na kuitambua Qurani kwa kupitia njia ambazo si sawasawa."
}