GET /api/v0.1/hansard/entries/490445/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 490445,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/490445/?format=api",
"text_counter": 400,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon.Mwashetani",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2163,
"legal_name": "Khatib Abdallah Mwashetani",
"slug": "khatib-abdallah-mwashetani"
},
"content": "Bw. Spika, nikimalizia, ningependa kumpa kongole Rais kwa kumteua dada Sophie Kadzo ambaye ametoka katika familia dogo na hatambuliki Kenya hii. Hii inaonyesha ishara ya kuwa tunakoelekea, mtu ambaye si mtu anaweza kuwa mtu kulingana na uongozi ambao uko wakati huu."
}