GET /api/v0.1/hansard/entries/490446/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 490446,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/490446/?format=api",
    "text_counter": 401,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon.Mwashetani",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2163,
        "legal_name": "Khatib Abdallah Mwashetani",
        "slug": "khatib-abdallah-mwashetani"
    },
    "content": "Nikimalizia kabisa, ninajua sasa hivi tuko kwenye utata wa kura ya maoni. Mambo mengi ambayo yametajwa katika kura ya maoni ni mambo ambayo tuko na imani kuwa sisi hapa kama Wabunge tunaweza kuyamaliza. Tumezungumza maswala ya kuhakikisha kuwa sura za wakenya ziko kila mahali na hili ni dhihirisho tosha kuwa Serikali ambayo ipo inayatambua maoni yetu kama Wabunge. Tumepewa fursa hii kubadili ama kutatua matatizo yalioko."
}