GET /api/v0.1/hansard/entries/491321/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 491321,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/491321/?format=api",
"text_counter": 194,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "leseni ya Kshs2,000 ambayo inajulikana kama prospecting licence . Akishazilipa pesa hizo, yeye huwa haruhusiwi kuenda kiwango fulani. Silaha yake ya kufanya kazi ni jembe, sururu na kijiko. Mwananchi huyo ana nia, nguvu na uwezo lakini hana ujuzi wa kujua mahali anaweza kukipata kitu anachokitafuta. Ningeomba Serikali iamuke. Tunafaa kuwacha kukaa ofisini, kuendesha magari, kunywa chai, kuweka maua ofisini na kuangalia maslahi ya wananchi ambao wanaumia. Naomba watu wenye ujuzi wa kiutafiti wa kutafuta madini ambao hawana kazi waajiriwe na Serikali na kutumwa katika kaunti zote. Wanafaa kuwa wakizunguka na kuwasaidia watu ambao wanayatafuta madini ili wayapate kwa urahisi. Kwa hayo mengi, naunga mkono."
}