GET /api/v0.1/hansard/entries/491968/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 491968,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/491968/?format=api",
    "text_counter": 256,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Machage",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 179,
        "legal_name": "Wilfred Gisuka Machage",
        "slug": "wilfred-machage"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika wa Muda. Je, tumlaumu nani kwa matatizo yanayotokea kushoto na kulia? Je, tunafaa kulaumu mahakama au Seneti hii? Tutayaita mambo yanayotokea Isiolo, Makueni, Kakamega na kila mahali kukurukakara? Mambo haya yanatokea kwa sababu ya udhaifu wa Katiba yetu. Ni lazima tuseme ukweli. Katiba haina vielelezo kamili vya kuleta watu pamoja wakati wa janga kama hili."
}