GET /api/v0.1/hansard/entries/492149/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 492149,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/492149/?format=api",
    "text_counter": 85,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 98,
        "legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
        "slug": "thomas-mwadeghu"
    },
    "content": "Ahsante, Mhe. Naibu Spika kwa kunipatia nafasi hii nami nitoe mchango wangu kuhusu sekta hii ya boda boda. Kama uelewavyo, shughuli za boda boda zimeenea kila pembe ya nchi yetu. Huwezi kwenda pahali popote na kukosa vijana wakifanya biashara, ama shughuli za boda boda. Kwa hivyo tunakubaliana sote kuwa ni biashara, ni sekta ambayo inakua na inahitaji kupatiwa msaada, ama kutiwa shime ili ipate kukua zaidi. Imeongeza uchumi wa nchi, imetoa ajira; vijana wanafanya kazi wao wenyewe bila kung’ang’ana, au kuzozana, na watu wakitafuta ajira. Kitu kinachohitajika ni kuboresha sekta hii ili hao vijana wawe wanaweza kutoa huduma kwa The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}