GET /api/v0.1/hansard/entries/492197/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 492197,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/492197/?format=api",
"text_counter": 133,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Chidzunga",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 751,
"legal_name": "Zainab Kalekye Chidzuga",
"slug": "zainab-kalekye-chidzuga"
},
"content": "Mhe. Naibu Spika wa Muda, vijana wa boda boda ni fungu ambalo tunaweza kusema linasaidia katika ajira mashinani lakini ni sehemu ya uchumi ambayo haijatiliwa maanani kuboreshwa. Ninampongeza Mheshimiwa kwa kuuleta huu mjadala na ningeomba badala ya Hoja hii, alete Mswada wa sheria ili tuweke sheria mwaafaka ambazo zitaweza kusimamia sekta hii. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}