GET /api/v0.1/hansard/entries/492199/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 492199,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/492199/?format=api",
    "text_counter": 135,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Chidzunga",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 751,
        "legal_name": "Zainab Kalekye Chidzuga",
        "slug": "zainab-kalekye-chidzuga"
    },
    "content": "Tukiangazia usalama, pikipiki zinafaa kuwekewa kifaa aina ya “Track It”, kama magari kwa sababu baadhi ya pikipiki zinatumiwa na wahalifu. Juma lililopita kule kwetu Kwale, kuna mzee aliyeuawa na majambazi waliokuwa kwenye pikipiki. Hiyo siyo mara ya kwanza kisa kama hicho kutokea. Visa kama hivyo vimekuwa vikitokea mara kwa mara katika sehemu hiyo. Kukiwa na kifaa cha “Track It” kwenye pikipiki, itakuwa rahisi kujua pikipiki hiyo iko wapi, ni ya nani na ilikuwa na nani wakati uhalifu ulipotekelezwa. Mwendo wa pikipiki hiyo utafuatiliwa kupitia mahali maalum pa kuangalia pikipiki zinatembea katika sehemu gani."
}