GET /api/v0.1/hansard/entries/492584/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 492584,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/492584/?format=api",
    "text_counter": 246,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Kiptui",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 499,
        "legal_name": "Grace Jemutai Kiptui",
        "slug": "grace-jemutai-kiptui"
    },
    "content": "Mhe. Naibu Spika wa Muda, tumeongea kuhusu mambo mengi na sitaki kuyarudia. Najua kwamba kuna wale waliathirika na shida za mwaka wa 2007/2008. Kuna wengine ambao walidhulumiwa hasa na maafisa wa Serikali. Pesa zilipotumwa kule mashinani kuwasaidia, zilipotelea katika mashimo ya panya na waathiriwa hawakupata fedha hizo. Nawatetea watu hao. Napendekeza kwamba Serikali ifuatilie tena ili tujue wale ambao hawakupata pesa ili waweze kupatiwa, hata kama tumefunga hiyo sura. Mhe. Naibu Spika wa Muda, ni uchungu kuona watu wengine ambao hawakuathirika wakipewa pesa hizo. Pesa hizo zilitolewa na Serikali kuwasaidia wale walioathirika. Lakini hawakupata pesa hizo. Naomba kwamba tufuatilie jambo hilo ili walioathirika wapatiwe haki yao. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}