GET /api/v0.1/hansard/entries/492585/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 492585,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/492585/?format=api",
"text_counter": 247,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Kiptui",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 499,
"legal_name": "Grace Jemutai Kiptui",
"slug": "grace-jemutai-kiptui"
},
"content": "Katika upande wa Upinzani wa Bunge hili, nilishangaa waliposema kwamba hawatahudhuria Kikao kilichoitishwa na Rais wa Nchi. Hiyo ni kuonyesha tabia mbaya. Ikiwa ni wakati ule ambao nchi yetu ilikuwa taabani, ingebidi sisi sote tushikane mkono tuonyeshe wale tunaowakilisha katika Bunge hili---"
}