GET /api/v0.1/hansard/entries/492589/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 492589,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/492589/?format=api",
"text_counter": 251,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Kiptui",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 499,
"legal_name": "Grace Jemutai Kiptui",
"slug": "grace-jemutai-kiptui"
},
"content": "Mhe. Naibu Spika wa Muda, naweza kuondoa hiyo sehemu ya mazungumzo yangu na niseme: “Halikuwa jambo nzuri kukataa kuja kusikiliza Hotuba ya Rais.” wakati kama ule nchi yetu ilikuwa kwenye majaribio. Ningewaomba Waheshimiwa wakati mwingine waweke siasa kando kidogo. Hata jana nilisema kwamba wakati kuna mambo ambayo yanawafaidi Wakenya, ni heri sisi sote tuungane pamoja. Isiwe upande tunaoketi unatuletea shida ili ifike kiwango ambacho hatuwezi kuwahudumia watu wetu. Kwa hayo machache, naunga mkono Hoja hii. Ahsante."
}