GET /api/v0.1/hansard/entries/492608/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 492608,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/492608/?format=api",
    "text_counter": 270,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 252,
        "legal_name": "Ali Wario",
        "slug": "ali-wario"
    },
    "content": "Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Nachukua fursa hii kwanza kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa sababu leo nitapata fursa ya kuzungumuza na waheshimiwa Wakenya waliotuchagua. Hivyo hivyo, nitapata fursa ya kuzungumza na wakoloni mamboleo na vibaraka vya wakoloni mamboleo waliomo ndani na nje ya nchi hii. Kabla sijazungumza na wao, ningependa kuweka ombi kwako kwa sababu Hotuba Ya Rais ni kumbukumbu muhimu kwa Bunge na Taifa la Kenya kwa jumla. Kifungu cha Saba, Kipengele cha Kwanza na cha Pili, kinatilia umuhimu wa lugha ya Kiswahili katika Taifa la Kenya. Kipengele cha Kwanza kinasema kuwa lugha ya Taifa The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}