GET /api/v0.1/hansard/entries/492959/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 492959,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/492959/?format=api",
    "text_counter": 266,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 98,
        "legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
        "slug": "thomas-mwadeghu"
    },
    "content": "Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda, wacha nione kama ninaweza kufanya vizuri zaidi kuliko Mheshimiwa ambaye ametangulia. Ningependa kutoa maoni yangu kuhusu maswala haya ambayo yametokea kuhusu Makatibu wa Wizara kuja mbele ya Kamati ya Bunge – Kamati ambayo imeteuliwa ili kujihuzisha ama kuwahuzisha Wabunge wote ili waje waelezwe waziwazi yanayojiri katika Wizara zao."
}