GET /api/v0.1/hansard/entries/492961/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 492961,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/492961/?format=api",
    "text_counter": 268,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 98,
        "legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
        "slug": "thomas-mwadeghu"
    },
    "content": "Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda, Spika ameeleza wazi kuwa kukutana na Makatibu Wakuu hapa hakumaanishi kuwa wanaingia Bungeni. Ni sababu tumekosa sebule kubwa ambapo tunaweza kukutana na wao vile wanavyokutana na kamati kila wakati. Tungekuwa tuko na nafasi kubwa hatungekutana hapa. Tungekutana pahali pengine lakini kwa sababu hiyo, imebidi waje hapa. Swala la kushangaza ni huu uoga umetokea wapi?"
}