GET /api/v0.1/hansard/entries/493259/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 493259,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/493259/?format=api",
"text_counter": 256,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mositet",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 608,
"legal_name": "Peter Korinko Mositet",
"slug": "peter-korinko-mositet"
},
"content": "Bw. Spika wa Muda, unaweza kumkaribia mtu sana akawa rafiki yako na kuona kwamba anaweza kama unavyoweza. Sen. Omar, utanisamehe. Bw. Naibu Spika, Rais wetu ana marafiki Afrika nzima. Afrika yote ni rafiki ya Kenya. Kongamano la Afrika pia lilikuwa likiangalia vile Rais wetu atakavyoenda kule The Hague. Alisema amemteua Naibu wake ashikilie na kutupa nafasi na kuonyesha kwamba hatujageuka katika mambo tuliyosikizana na Afrika nzima. Rais angeenda kule lakini akamwachia Naibu wake kushikilia kama Rais wa muda hapa Kenya. Rais wetu alilifanya jambo la busara sana. Mheshimiwa Rais pia alichangia pakubwa kwa kuonyesha kwamba demokrasia yetu iko juu sana. Viongozi wengine ambao wangependa kuchaguliwa katika ngazi hizo The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}