GET /api/v0.1/hansard/entries/493261/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 493261,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/493261/?format=api",
    "text_counter": 258,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "wana kibarua kigumu sana baada ya yale Rais alifanya. Tungependa kujivunia haya kwa sababu alituonyesha kusimama wima kama nchi. Rais alionyesha kwamba ni lazima tusimame akiwa hapa na akiwa ameondoka. Lazima taifa liendelee kusimama. Bw. Spika wa Muda, kwa hayo machache, ninaunga mkono hotuba ya Rais."
}