GET /api/v0.1/hansard/entries/493895/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 493895,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/493895/?format=api",
    "text_counter": 259,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 98,
        "legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
        "slug": "thomas-mwadeghu"
    },
    "content": "Ningependa Wakenya wafahamishwe kwamba wanamiliki theluthi moja ya Shirika la Ndege la Kenya. Wamombo wanasema 30 per cent. Hisa zingine si za Wakenya wala Serikali ya Kenya bali ni za Wadachi. Kwa hivyo, hili shirika si mali ya watu wa Kenya lakini anga ambayo wanaitumia vile watakavyo ni ya Kenya."
}