GET /api/v0.1/hansard/entries/493896/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 493896,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/493896/?format=api",
    "text_counter": 260,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 98,
        "legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
        "slug": "thomas-mwadeghu"
    },
    "content": "Mhe. Naibu Spika wa Muda, ukiangalia mwongozo wa Shirika la Ndege la Kenya, utagundua kwamba unatolewa na Wadachi. Hii ndio sababu kuna njia zingine ambazo Shirika la Ndege la Kenya limeachia Wadachi. Hizi ni safari ambazo zinaweza kuletea shirika hili pesa. Kwa mfano, kuna njia ya kutoka Nairobi kwenda Roma. Njia hii ilikuwa inaletea hili shirika pesa lakini kwa sababu Wadachi waliitaka waliambia Shirika la Ndege la Kenya waache hiyo njia na ikawa yao. Walipokonya Wakenya hiyo njia."
}