GET /api/v0.1/hansard/entries/493898/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 493898,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/493898/?format=api",
    "text_counter": 262,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 98,
        "legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
        "slug": "thomas-mwadeghu"
    },
    "content": "Pili, ukisema unabadilisha masaa yakusafiri; labda ulikuwa usafiri jioni na useme unataka kuongeza masaa, mara nyingi utaambiwa kwamba nauli imebadilika. Kwa nini nauli ibadilike? Ninaposafiri kwenda Mombasa kwa basi, nikisema ninaenda huko nikitumia basi ya saa tatu na nibadilishe nisafiri na basi ya saa tano nauli haibadiliki. Lakini katika Shirika la Ndege la Kenya, utakuta kwamba unalipishwa ada."
}