GET /api/v0.1/hansard/entries/493899/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 493899,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/493899/?format=api",
"text_counter": 263,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "Mhe. Naibu Spika wa Muda, ukipatikana na mkosi na uamue unabadilisha safari yako, labda ulikuwa umetafuta nafasi ya kusafiri kutoka Nairobi kwenda Mombasa nakurudi, ikiwa hukuchukua safari ya kwanza yakuenda na unatumia nauli yakurudi, pia utalipishwa kwa kutosafiri. Ni mara ngapi tumesafiri na ndege ya shirika hili na unakuta viti viko bure? Ndege inapaa juu na inaenda bure lakini watu wameachwa chini na wanaambiwa kwamba ndege imejaa."
}