GET /api/v0.1/hansard/entries/493902/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 493902,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/493902/?format=api",
    "text_counter": 266,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 98,
        "legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
        "slug": "thomas-mwadeghu"
    },
    "content": "kutumia hizi ndege kutoka Nairobi hadi Kisumu ama Nairobi hadi Mombasa. Ameamua ndege zake zitoke Nairobi ziende Jeddah na kama si Jeddah ziende Somalia. Je, hili anga ni la Kenya Airways peke yake? Tukiwapatia changamoto, wafanyikazi wa shirika la Kenya Airways watageuza mienendo yao na tabia zao na kuanza kuwajibika. Mara nyingi, wafanyikazi wa shirika hilo ni wazembe, wafidhuli na mahanithi. Siwezi kusema mengine, lakini wafanyikazi wa Kenya Airways wamekuwa wajeuri kiasi kwa sababu wanajua kwamba hakuna mtu mwingine ambaye anaweza kupatiwa nafasi ya kuleta ndege zake humu nchini."
}