GET /api/v0.1/hansard/entries/494817/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 494817,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/494817/?format=api",
    "text_counter": 36,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Dr.) Shaban",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 139,
        "legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
        "slug": "naomi-shaban"
    },
    "content": "Asante sana, Mhe. Spika. Mwenzangu Mbunge wa Gatundu Kusini ametatizika sana kwa sababu ya hali ya usalama hapa nchini na umuhimu wa kuwa na maafisa wa usalama kwenda kwenye mafunzo ili waweze kufanya kazi kama vile Serikali ya Jubilee ilivyoahidi. Ijapokuwa ni hivyo na haswa sisi wenye kutoka maeneo ya mpakani, tunapendelea sana kuwa maafisa hawa waende mafunzoni haraka iwezekanavyo ili waje wafanye kazi ya kuwalinda Wakenya haswa wakati huu ambapo tumekuwa na matatizo mengi hapa Kenya. Kulingana na kanuni za Bunge hili, Mbunge huyu wa Gatundu The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}