GET /api/v0.1/hansard/entries/495349/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 495349,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/495349/?format=api",
"text_counter": 331,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwashetani",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2163,
"legal_name": "Khatib Abdallah Mwashetani",
"slug": "khatib-abdallah-mwashetani"
},
"content": "Asante sana, Bi Mwenyekiti. Ningependa kuunga mkono marekebisho hayo kwa sababu yametoa nguvu kwa mtu mmoja katika kutoa maamuzi. Swala la madini limeleta utata sana. Iwapo marekebisho haya yatapita, itakuwa rahisi kwa watu kuzunguka na kufanya utafiti bila kusumbua ile ardhi ambayo inatarajiwa kutolewa madini. Kwa hivyo, ninaunga mkono."
}