GET /api/v0.1/hansard/entries/495605/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 495605,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/495605/?format=api",
    "text_counter": 587,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwashetani",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2163,
        "legal_name": "Khatib Abdallah Mwashetani",
        "slug": "khatib-abdallah-mwashetani"
    },
    "content": "Asante sana, Mhe . Naibu Mwenyekiti wa Muda. Ningependa kuchangia na kuunga mkono kwa njia ya kuwa utafiti ukiendelea katika mashamba, wananchi walioko pale hawasumbuliwi sana. Nazungumza kwa kuwa nina sehemu yangu kule kwangu ambapo madini yametafutwa na wananchi wako palepale na leseni imepeanwa. Lakini sasa hivi kulingana na mikakati iliyokuwepo – Pengine hawakufuata mikakati kisawasawa ikaregeshwa nyuma na ikachukuliwa na Serikali. Kwa hivyo, kwa upande wangu, mimi husema kuwa katika utafiti hakuna suala la kusumbuliwa kwa wananchi kivyovyote. Kwa hivyo, naunga mkono."
}