GET /api/v0.1/hansard/entries/496370/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 496370,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/496370/?format=api",
"text_counter": 1352,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Dr.) Shaban",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": "Asante sana Bwana Mwenyekiti wa Muda. Nataka kumuunga mkono Mwenyekiti wa Kamati hii ya Maswala ya Mazingira na Uchimbaji Madini hapa nchini. Kwa sisi ambao tunatoka Taita Taveta, tunajua kuwa watu wamepelekwa kortini na wengi wameteswa. Hata wale ambao wanafanya shughuli kwenye mashamba yao, wameteseka kwa sababu wale matajiri wamewasumbua. Hii itarekebisha na itatoa tiba kwa tatizo hili."
}