GET /api/v0.1/hansard/entries/497590/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 497590,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/497590/?format=api",
    "text_counter": 193,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwashetani",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2163,
        "legal_name": "Khatib Abdallah Mwashetani",
        "slug": "khatib-abdallah-mwashetani"
    },
    "content": "Ahsante sana, mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii. Kwanza kabisa ningependa kutoa shukurani kwa ndugu na rafiki yangu, Chris Wamalwa, kwa kuileta Hoja hii Bungeni. Mimi nilijikuta kwenye ulingo wa siasa kwa sababu ya marehemu Kijana Wamalwa. Nikiwa naibu mwenyekiti wa chama cha FORD(K), na kwa sababu marehemu Kijana Wamalwa alikuwa mwanzilishi wa chama chetu, ninamushabikia zaidi. Ninawaomba Wabunge wenzangu tuipitishe Hoja hii ili tuweze kumtambua kama kiongozi aliyechangia kuwepo kwetu Bungeni. Kwa hayo machache, ninaiunga mkono Hoja hii. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}