GET /api/v0.1/hansard/entries/497736/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 497736,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/497736/?format=api",
    "text_counter": 132,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Njoroge",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13158,
        "legal_name": "Ben Njoroge",
        "slug": "ben-njoroge"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, kwanza nitasema kwamba nimenukuu yale ambayo yalikuwa yamesemwa na Sen. Orengo kwamba, hili si jambo la kisheria peke yake, bali ni la kisiasa. Kwa hivyo, hawa ni watu ambao wana usemi mkubwa sana kisiasa. Licha ya haya yote, ikiwa kulikuwa na na Kamukunji wakati mmoja ningepeka kukumbushwa yaliyoajiri katika mkutano huo."
}