GET /api/v0.1/hansard/entries/497740/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 497740,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/497740/?format=api",
"text_counter": 136,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Njoroge",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13158,
"legal_name": "Ben Njoroge",
"slug": "ben-njoroge"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, ningetaka nikumbushwe yale mambo ambayo yalitajwa katika Kamukunji wakati mmoja na ambayo hayatakiwi kuhusishwa wakati huu ambao tunajadili Hoja hii. Hapa Kamati hii inasemakana ilianza kazi kutoka 2.09.2014. Ikiwa tutaipitisha Hoja hii, itakuwa ni ufisadi wa hali ya juu. Ningetaka kusema bila kutaja mambao yaliyojadiliwa katika"
}