GET /api/v0.1/hansard/entries/497771/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 497771,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/497771/?format=api",
    "text_counter": 167,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Njoroge",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13158,
        "legal_name": "Ben Njoroge",
        "slug": "ben-njoroge"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, wakati nimesema naipinga Hoja hii pamoja na majina katika orodha hii hapa, pengine liwe ni jambo la ubaguzi, ambalo linaweza kuwa katika hii Seneti kwa sababu mimi si pekee yaka ambaye ametaja mambo ya ufisadi katika Hoja hii. Leo pia kuna Seneta ambaye pia ametaja jambo hilo la ufisadi. Sikusikia wenzangu wakisimama kwa hoja ya nidhamu. Ikiwa mimi ninahisi na naona jambo tofauti, na ninafikiria Hoja hii imewasilishwa hapa ili tuijadili---"
}