GET /api/v0.1/hansard/entries/499835/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 499835,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/499835/?format=api",
"text_counter": 96,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "za hali ya juu. Katika mtihani huo, yeye ndiye aliyekuwa wa kwanza. Lakini, Waziri wa Uchukuzi na Miundo Msingi alichagua mtu mwingine aliyekuwa wa nne. Swali hilo tulilouliza hapa majuma matatu yaliyopita kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Barabara na Uchukuzi, hatujapata jawabu mpaka sasa. Ninataka kujua kama jawabu hilo linaweza kupatikana, na litapatikana lini? Ama suala hilo linaweza kujibiwa siku gani? Asante Bw. Spika."
}