GET /api/v0.1/hansard/entries/500097/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 500097,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/500097/?format=api",
"text_counter": 358,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Chiaba",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 3,
"legal_name": "Abu Mohamed Chiaba",
"slug": "abu-chiaba"
},
"content": "Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi hii. Hoja hii ni muhimu sana si tu kwa Wapokot peke yao lakini taifa nzima. Tunakumbuka wazi ya kwamba katika Kaunti ya Lamu, kulikuwa na uvamizi, wakora wakaja – hatujui kutoka wapi – wakavamia na kuua watu wasio na hatia. Lakini kilichotokea huko Pokot kilionekana kuwa watu wamevamia mamlaka ya Government ."
}