GET /api/v0.1/hansard/entries/500101/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 500101,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/500101/?format=api",
"text_counter": 362,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "nje usiku. Madhumuni ya kuweka marufuku hayo ni kulinda ili wahalifu wasifanye uhalifu mara nyingine tena. Lakini inaonekana marufuku sasa inawadhuru wale watu watiifu wanaolinda sheria. Inawaingilia pia katika hali ya kufanya kazi---"
}