GET /api/v0.1/hansard/entries/500103/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 500103,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/500103/?format=api",
"text_counter": 364,
"type": "speech",
"speaker_name": "The Temporary Speaker",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "(Sen. (Dr.) Machage): Bw. Spika wa Muda, tunazungumza mambo ya ukosefu wa usalama. Hivi sasa tunaiomba Serikali, wakati umefika ya kwamba marufuku hiyo iondolewe Lamu. Hii ni kwa sababu ukiwasukuma watu kuleta sheria ambazo hazifai, basi kama Lamu au pahali pengine popote, hata Pokot, itakuwa lazima watu wachukue hatua ya kujilinda kulingana na Haki za Kimsingi . Kwa hayo machache, ninaunga mkono Hoja hii."
}