GET /api/v0.1/hansard/entries/501148/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 501148,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/501148/?format=api",
    "text_counter": 327,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Aburi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2901,
        "legal_name": "Lawrence Mpuru Aburi",
        "slug": "lawrence-mpuru-aburi"
    },
    "content": "Bwana Naibu Spika wa Muda, yangu nikuongeze kwamba tukisema Jogoo Road iongezwe kutoka kwa shamba ambalo liko Kenya Railways, hatuishi hiyo sehemu ya chini. Hatuwezi kung’oa stesheni ya mafuta na kituo cha reli ambavyo viko karibu ili tusukume soko la Muthurwa chini. Hili si jambo zuri. Jambo hili linahitaji mpangilio na watu wanafaa kuketi wapange pamoja. Sitaki kurudia mambo ya (word expunged ). Huo ni mdomo uliteguka na nimeomba msamaha. Lakini ukiwachunguza watu ambao wameileta Hoja hii katika Bunge kuhusu shamba la KRC, utapata kuwa kuna kitu ambacho kinaendelea nyuma yake. Nyuma yake, utasikia kuwa Mhe. Aburi alisimama Bunge na akasema kuwa kuna kitu ambacho kinaendelea. Bw. Naibu Spika, kwa mfano, katika eneo la Tigania East niko na mipango yangu. Kwanza, lazima uniulize; “Bw. Aburi, lile daraja likoje?” Ndio maana Mhe. Kamanda amesimama akasema kwamba shamba hilo halitoshi kwake. Shamba lililoko pale kwangu ni ekari 35 na lote liko na nyumba ndogo ndogo kama zile za zamani. Bw. Naibu Spika wa Muda, inamaanisha kwamba kile kikundi ambacho kinataka kuleta hayo mambo ni kikundi ambacho kina mpango wa kubomoa zile nyumba halafu hiyo mada iletwa Bunge tena ili tuanze kupiga kelele katika Bunge kwamba nyumba za Shirika la Reli zimebomolewa. Kwa hayo machache, Bw. Naibu Spika wa Muda, kamwe siungi mkono Hoja hii. Asante."
}