GET /api/v0.1/hansard/entries/501903/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 501903,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/501903/?format=api",
    "text_counter": 226,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Dr.) Shaban",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 139,
        "legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
        "slug": "naomi-shaban"
    },
    "content": "Asante sana, Naibu Spika wa Muda. Haiwi haiwi, leo imefika. Baada ya muda mrefu, huyu Daktari Lydia Nzomo, ambaye ndiye alikuwa anafaa kupatiwa kazi hii tangu Bunge la Kumi, sasa hivi, wakati umefika. Imesemekana kuwa akisema atakubariki, hakuna atakayezuia. Wakati ni sasa. Daktari Lydia Nzomo angekuwa amefanya kazi nyingi sana."
}