GET /api/v0.1/hansard/entries/501904/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 501904,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/501904/?format=api",
"text_counter": 227,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Dr.) Shaban",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": "Ukiangalia, watu wengi walikuwa wamenyemelea nafasi hii. Wangeipata na Lydia Nzomo angebaki bila kazi hii ambayo amehitimu kufanya na ambayo ni muhimu sana. Tuko na hakika kuwa anaweza kuitekeleza kwa haraka na pia kuhakikisha kuwa walimu na wanafunzi wamepata haki yao."
}