GET /api/v0.1/hansard/entries/502069/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 502069,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/502069/?format=api",
"text_counter": 392,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Machira",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 769,
"legal_name": "Jane Agnes Wanjira Machira",
"slug": "jane-agnes-wanjira-machira"
},
"content": "Wanaume, mwataka kujifurahisha na watoto wetu? Mwataka kuona nini ambacho hamjawahi kuona? Ikiwa kina mama wazee walioishi miaka ya 60, mama yangu alikuwa akivaa nguo fupi na sikuona hata yule mtoto wa kijiji akienda kumwangalia chini na walikuwa wakivaa nguo fupi, mbona nyinyi na mmesoma mnafanya hivyo? Mwataka kuwa na tamaa ambayo haijulikani ni ya aina gani. Naomba---"
}