GET /api/v0.1/hansard/entries/502077/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 502077,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/502077/?format=api",
    "text_counter": 400,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms) Mumo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 808,
        "legal_name": "Rose Museo Mumo",
        "slug": "rose-museo-mumo"
    },
    "content": "Asante Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi hii niweze kuchangia katika mada hii. Nashukuru Mhe. Shebesh kwa kuweza kuleta mjadala huu kwa sababu jambo ambalo lilitokea katika nchi yetu ya Kenya lilikuwa ni jambo la huzuni na aibu kwa kina mama. Kusema kweli, kila mtu amesikitishwa na jambo ambalo limetokea kwa wasichana hawa ambao wamevuliwa nguo. Ni vyema tukaangalie ni vipi ambavyo mambo kama haya yameanza kutendeka hasa katika sehemu za umma za kuweza kupanda magari ama watoto"
}