GET /api/v0.1/hansard/entries/502791/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 502791,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/502791/?format=api",
"text_counter": 378,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwanyoha",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2308,
"legal_name": "Hassan Mohamed Mwanyoha",
"slug": "hassan-mohamed-mwanyoha"
},
"content": "Asante sana, Naibu Spika wa Muda. Kwanza, kwa niaba yangu kama kiongozi wa CORD Wilaya ya Kwale nzima na kwa niaba ya watu wangu, ninaomba kupeleka rambirambi zangu kwa familia na marafiki wa kiongozi wa mapambano ambaye ametuwacha. Nikirudi upande wa Hoja tulionayo, ninataka kumshukuru kisawasawa aliyeleta Hoja hii. Jambo hili litakapofanyika, litaondoa madhara mengi sana. Ni jambo la kusikitisha kwamba kutoka hapa mpaka Embakasi, ambapo mtu anaweza kusafiri kwa gari kwa muda wa dakika kumi na tano kama nilivyofanya jana usiku kama saa tano, The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}