GET /api/v0.1/hansard/entries/503558/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 503558,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/503558/?format=api",
    "text_counter": 124,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Boy Juma Boy",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 758,
        "legal_name": "Boy Juma Boy",
        "slug": "boy-juma-boy"
    },
    "content": "Asante sana, Bw. Spika wa Muda. Kwanza, ningependa kutoa rambi rambi zangu kwa familia, Wabunge, Seneti naviongozi wote wa CORD ambao wamepoteza shujaa wao. Kuna mwimbaji wa Tanzania ambaye aliimba wimbo unaoitwa kifo; anaitwa Remi Ongala. Alisema kama angejua kifo kitakuja namna gani angaliweza kukihonga. Kwa nini nasema hivyo? Nasema hivyo kwa sababu tulikuwa tumezoea kukaa pamoja na Sen. Kajwang. Hata wote mnajua kwamba sisi wazee wawili tunakaa pamoja na kwa jina maarufu tunajulikana kama Back benchers. Jana alipofika, tuliongea juu ya kufuzu kwa kakake kule Kampala. Tukazungumza kirefu na akanieleza kwa nini hakuhudhuria sherehe za kufuzu za kakake. Tulizungumza mambo mengi. Tulizungumzia sana swala la Mjadala uliokuwa mbele ya Bunge hili juu ya usalama. Pia, tulizungumza kwa kirefu na akanieleza masaibu yaliyompata wikendi alipokuwa safarini. Alipata ajali alipokuwa akisafiri. Alitoka hapa kwa ndege na akachukua gari lake aina ya Prado na akapata ajali. Tulijadiliana kirefu na tukacheke sana. Kumbe vile alivyosema Remi Ongala, “kifo kifo, laiti ningelijua hata The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}