GET /api/v0.1/hansard/entries/503574/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 503574,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/503574/?format=api",
"text_counter": 140,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bw. Spika wa Muda, wachina wanajulikana kwa kula vyakula vingi. Kwa hivyo, pengine ulimi ulitelelza kidogo, lakini nilikuwa kusema kwamba wanakula nyoka, vyura na vyakula vingine vile ambavyo sisi Waafrika, hasa Wakenya huwa hatuli. Sahani ilipokuja tukiwa tumeketi pamoja, tuliweza kunong’onezana pale kwa sababu kile chakula hakikuonekana kama ni nyama ambayo sisi tunakula huku Kenya. Nilimwuliza ndugu yangu ikiwa ilikuwa vyema tule kile chakula ama tusile. Alinieleza kwamba:- The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}